HABARI MPYA

Mar 31, 2016

FLORA LAUWO akutana na mdau wa FLORA SHOW

Kukutana na wadau ni kitu ninachokipenda sana.Hapa ni mdau wa Flora Show alikuja salon kwetu kufanyiwa makeup baadae tukapata picha ya pamoja..
Nawapenda sana wadau wangu wote...

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION