HABARI MPYA

Mar 31, 2016

HIVI NI BAADHI YA VIPODOZI TULIVYONAVYO


Mwanamke urembo,mwanamke kujipamba,mwanamke kupendeza! Tuna kila aina ya vipodozi kwenye maduka yetu. Wanja,lipstick,poda,foundation nk..
Tuna kukaribisha ututembelee leo,upate kile unachokitafuta..Maduka yetu yanapatikana maeneo yafuatayo:
DAR ES SALAAM
Ilala boma jengo la Mwalimu House ghorofa ya kwanza.
MWANZA
Mtaa wa Uhuru jirani na DELUX ulizia FLORA SALON.
Unaweza kutupigia kwa namba zifuatazo
0757 665 556
0759 665 555

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION