HABARI MPYA

Mar 31, 2016

JE,WAIJUA HABARI YA MJINI? SOMA HAPA

Flora Lauwo akizungumza na Tausi 
Flora's Kit ndicho kipindi kinachobamba mjini.Ndio kipindi pekee hapa Tanzania kinachoelezea masuala ya vipodozi na urembo.Ndani ya Flora's Kit utapata nafasi ya kufahamu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Flora.Mambo ya salon,duka la nguo za Harusi,duka la vipodozi nk.
Usikose kipindi hiki ambapo Flora alipata nafasi ya kuzungumza na dada Tausi Seleman ambaye yeye ni mtaalam wa makeup..Kuna mambo mengi sana ya kujifunza.
Kipindi hiki utakiona kupitia Channel Ten kila siku ya jumanne saa 4:00 usiku..

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION