HABARI MPYA

Mar 31, 2016

PAMBA na POZI!

Shukrani za pekee ziende kwao Witney Fashion kwa kunivalisha gauni zuri sana lililonipendeza.Hiyo kofia unayoiona inapatikana kwenye maduka yetu.Tunazo aina tofauti tofauti karibu sana.

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION