HABARI MPYA

Mar 31, 2016

UNAHITAJI SHELA NZURI? TAZAMA HIZI HAPA

Weka kumbukumbu kwa kununua shela yako kwa ajili ya tukio muhimu sana katika amisha yako.Acha kuazima shela,maana gharama ya kukodisha ni kubwa zaidi ya kununua na ikawa ya kwako na kuwa kumbukumbu nzuri sana.Shela hizi zinapatikana kwenye maduka yetu yaliyopo Dar na Mwanza.
Tupigie simu 0757 665 556

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION