HABARI MPYA

Apr 29, 2016

JEMBE BEACH:PHOTO SHOOT YA MAGAUNI YA HARUSI
Acha tabia ya kukodi magauni ya harusi..Njoo dukani kwetu upate gauni zuri kwa bei nafuu kabisa.
DA ES SALAAM:Tuko Ilala boma jengo la Mwalimu House ghorofa ya kwanza..
MWANZA: Tuko mtaa wa Uhuru mkabala na Delux Hotel ulizia FLORA SALON..
SIMU:0757665556

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION