HABARI MPYA

Apr 29, 2016

KUTANA NA REGNALD LYARUU AKIZUNGUMZIA TATIZO LA CHUNUSI


Mambo vipi mdau wa Flora's Kit. Karibu kwenye mtandao wetu uweze kujifunza mambo mengi yahusuyo urembo.Leo tutazungumzia tatizo la chunusi na njia unazoweza kuzitumia kuziondoa kabisa.. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka sana na tatizo hili... Tazama video hii ya kipindi chetu uweze kufahamu mambo mengi kuhusu tatizo hili...

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION