HABARI MPYA

Apr 29, 2016

MAISHA YA CHACHA ROBERT (sehemu ya kwanza)

Chacha Robert akiwa na daktari bingwa wa ngozi Dk Nohrasco Mangondi

Msomaji,kupitia kipindi cha NITETEE SAUTI YA WANYONGE ninakuletea video ya maisha ya kijana CHACHA ROBERT anayesumbuliwa na ugonjwa wa ngozi ujulikanaao kwa kitaalam(ACTHAYOSIC) unaosababisha ngozi ya mwili kupasuka pasuka na kuwa na magamba...
Kumbuka kipindi hiki kinaonekana kila siku ya Ijumaa saa 3 kamili usiku kupitia Channel ten...

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION