HABARI MPYA

May 6, 2016

Flora's Kit: YOSHIE SHITOMI AKIZUNGUMZIA ACNES SABUNI INAYOONDOA CHUNUSI(VIDEO)

Je,ulikosa kutazama kipindi cha Flora's Kit wiki hii?
Usiwaze sana,kiko hapa mwanzo mwisho..

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION