HABARI MPYA

Jul 22, 2016

PICHA YA WIKI

Nikiwa na Ndg Hashim Lundenga aliponitembelea dukani kwangu Ilala boma jengo la Mwalimu House Ghorofa ya kwanza

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION