HABARI MPYA

Aug 30, 2016

MISS LAKE ZONE 2016 ndio habari ya mjini!!


Warembo wa shindano la MISS LAKE ZONE 2016 wakiwa kwenye mazoezi ROCK CIT MALL jijini MWANZA.Kijana wa kazi kutoka Flora Talent Promotion DAVID KIMARIO akiwa kazini..

Mambo ya Cut walk hayo!!
Kama utakosa kufika tarehe 10/9/2016 utakuwa umekosa tukio muhimu sana...


Warembo wakipiga picha mbele ya tangazo la mdhamini mkuu OZONA SOAP


Palikuwa hapatoshi ROCK CITY MALL

Nani amekuambia warembo hawajui kucheza!Tena wanasakata rhumba balaa!!kama unabisha njoo  Rock city mall tarehe 10/9/2016ujionee mwenyewe


Kidogo kidogo ya Diamond inaendeleeeeeeaa!
Hapa warembo wakielekea ndani ya jengo kutembelea mmoja wa wadhamini wa shindano hili ambae ni TSN SUPER MARKET.


Hapa ni ndani ya TSN SUPER MARKET ambapo warembo walitembelea,picha inaonesha wakiangalia vitu mbalimbali. Endelea kufuatilia blog hii kwa habari zote za MISS LAKE ZONE 2016
"UNAKOSAJE SASA KWA MFANO!!"

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION