HABARI MPYA

Sep 2, 2016

Kambi na mazoezi ya warembo wa MISS LAKE ZONE 2016 yapamba moto...

warembo wakiwa mazoezini katika viwanja vya ROCK CITY MALL!!!.katika maonyesho ya AFRIKA MASHARIKI.
 Husikose kufika viwanja vya Rock city mall tarehe 10/9/2016 kushuudia final ya kumpata mrembo wa kanda ya ziwa ambaye atajipatia zawadi ya Gari mpyaaaaaaa!!! utakosaje kwa mfanooo..

 OZONA MISS LAKE ZONE 2016 yapamba moto !!warembowakitembelea Hospitali ya Mkoa-Mwanza kuwasalimia wagonjwa...
Habari kwa picha!!warembo wa MISS LAKE ZONE 2016 walipo fika nyumbani kwa Bi Kurwa na kumpa zawadi za BIO OIL..

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION