HABARI MPYA

Nov 17, 2016

UREMBO NA UTANASHATI ndio habari ya mjini

 Karibu NIFO BEAUTY COLLEGE upate nafasi ya kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu Urembo


Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION