HABARI MPYA

Nov 17, 2016

VIJANA NA UBUNIFU

 Nani kakwambia kina kaka hawajui kutengeneza vikapu?
Tazama vijana hawa wa NIFO BEAUTY COLLEGE walivyotengeneza vikapu vyao.. Wewe kijana unasubiri nini kujiunga nao?

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION