HABARI MPYA

Nov 17, 2016

VIKAPU FULANI HIVI AMAIZING!!


Hii ni moja ya ujuzi unaopatikana hapa NIFO BEAUTY COLLEGE ambapo kina dada hawa walitengeneza vikapu flani hivi amaizing sana!

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION