HABARI MPYA

Nov 17, 2016

WAKAKA WAKIWA KATIKA POZI

Kijana wa kitanzania,kwa nini ukae kijiweni wakati unaweza kupata ujuzi utakao kufanya ujiajiri?
Njoo NIFO BEAUTY COLLEGE upate fursa ya ajira

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION