HABARI MPYA

Jun 1, 2017

KARIBU NIFO BEAUTY COLLEGE UPATE UJUZI KWA MAISHA YAKO YA BAADAE


Ukiwaona utasema ni bibi harusi na best wake😀😀

Hawa ni wanafunzi wa NIFO BEAUTY TRAINING COLLEGE chuo kinachotoa kozi mbalimbali za Hair & Beauty therapy,upambaji wa kumbi za harusi,utengenezaji wa keki nk..
Kama na wewe unapenda kujiunga nasi tupigie simu +255759665555 au +255786665555 
Email: info@niteteefoundation.or.tz

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION