HABARI MPYA

Jun 1, 2017

SAFARI YA KOREA KUSINI


 Tulianza kikao na kampuni ya urembo. NI kampuni kubwa sana wanatengeneza bidhaa nzuri sana Za ngozi stay tune soon


Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION