HABARI MPYA

Jul 6, 2017

SHINE & LOVELY ndani ya maonyesho ya sabasaba

Ewe mkazi wa Dar es salaam bado hujachelewa kwani maonyesho ndio kwanza yanashika chati... Tembelea banda la bidhaa za urembo za Shine & Lovely ujipatie vipodozi halisi kwa bei nafuu kabisa..
Pia zawadi mbalimbali hutolewa kwa kila anayetembelea banda lao..

Kuhusu ""

"Mimi ni mzaliwa wa Moshi nimetokea katika familia ya kimasikini, lakini tangu utoto wangu nilikuwa napenda kutafuta hela. Hivyo namshuru Mungu kwa kunipatia uthubutu wa kufanya vitu vikubwa kama 'Urembo' na Program zangu za 'Flora Show''Flora's kit' na 'Nitetee Sauti ya Mnyonge' ambazo zimeonekana kuwa na faida katika jamii.
 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION