HABARI MPYA

MAONI KUHUSU FLORA SHOW

Queen David said...

I'm sorry da Florah...naomba unisaidie ushauri maana nateseka na chunusi zinazonishambulia mgongoni,kifuani na uso wote. Ngozi yangu sio ya mafuta! Hali hii ilinianza December mwaka Jana,sikuwa nimebadilisha lotion..vilikuja ghafla tu. Naomba ushauri wako dada yangu..nitumie vipodoz gani visivyo badili rangi yangu ila viondoe chunusi hizi!! Jina langu Queen,23yrs

FLORA LAUWO TV PRO said...

Pole sana Queen naomba unipigie simu nikueleze vizuri 0759665555 au 0757665556

 
Hakimiliki © 2017 FLORA TALENTS PROMOTION